DUTIES AND RESPONSIBILITIES |
i.Kufanya uchambuzi wa nguo kwa ajili ya kuosha, kukausha, kunyoosha na kuzifungasha na
ii. Kazi nyingine kama atakavyoelekezwa na Msimamizi wa kazi.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE |
Kuajiriwa ni kwa waliofuzu mafunzo ya miaka miwili au mitatu katika fani ya Dobi (Laundry Services) kutoka katika vyuo vinavyotambulika na Serikali.